Dili Leo
inafanyaje?

Bid ya chini ya NA ya kipekee  ndio hununua bidhaa!

Weka bei unayotaka kununua bidhaa kupitia bid yako
Ikiwa hio bei ni ya kipekee na ya chini kabisa ikilinganishwa na zingine za kipekee, bidhaa ni yako!

Uko tayari kubid?
Nyakua simu yako na uanze kubid.


Habari Muhimu:

Punde tu umeweka bid yako, unaweza kuona kama 1) ni bid ya kipekee ama, 2) si bid ya kipekee.



Mambo mengine ya kujua:

Auctions nyingi za Dili Leo ni za kwa wakati tu.

Unaweza kuweka bid moja au bid kadhaa.

Endapo hakuna bid ya kipekee, mshindi atakuwa bidder wa kwanza ambaye aliweka bid iliyo na jumuiya ya bidders wachache zaidi na atajulishwa kwa SMS. Baadaye, atahitajika kuagiza na kulipia bidhaa hiyo kwa bei hio ya chini. Tutawasiliana nawe kupanga usafirishaji wa bidhaa yako.

Nyakua bidhaa ya kushangaza kwa TZS 400 pekee au hata TZS 1!

Hakuna tovuti nyingine inayokupa fursa ya kununua bidhaa za ajabu zenye thamani ya mamia ya maelfu kwa TZS 400 tu au hata TZS 1. Ukiweka bid ya chini ya kipekee, unaweza nyakua bidhaa za teknolojia kwa bei iliyopungua bei ya rejareja.

Chagua kwa busara, ikiwa bid yako ni ya chini na ya kipekee, ni yako!

Weka Bid yako
...

Bidhaa bora zaidi

Simu mpya? Laptop mpya? Tuko na bidhaa bora zaidi nchini Tanzania pamoja nasi, zote ni TZS 400 pekee kwa kila bid.